Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh,
Mpenzi msomaji wa Blog hii ya JUKWAA LA KISWAHILI nakukaribisha kwa moyo mkunjufu katika ukurasa wangu ambao utakuwa ni mawasiliano baina yangu na wewe msomaji, katika kupeana elimu na faida mbali mbali zinazohusiana na Lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
JINA: MOHAMMED SAID MOHAMMED
S.L.P:100,
SIMU: +255 773 051 454/0773 558 812 / 0657 509 114 / 0777051454
.
ELIMU: Shahada ya kwanza Muslim University of Morogoro (MUM).
MSINGINI MKOANI ; PEMBA,
ZANZIBAR.
AHSANTENI.
No comments:
Post a Comment