KARIBU KATIKA JUKWAA LA KISWAHILI...MOHAMMED SAID MOHAMMED...+255 777 05 14 54 / +255 773 558 812/ +255 657 509 114.. MSINGINI MKOANI PEMBA...AHSANTENI
:::Advertise with us to make your business or program visible in all East African countries and the rest of the world - JUKWAA LA KISWAHILI.:::

Saturday, April 4, 2015

MWANAMKE ANAVYOBADILIKA KITABIA HUPELEKEA UVUNJAJI WA MAPENZI.

Uchunguzi unaonesha kuwa, wanawake wengi hawawezi kuficha sana hisia zao za mapenzi, lakini pia kwenye chuki hawakujaaliwa uvumilivu. Wanasaikolojia wanakiri kwamba, kutambua mawazo yaliyomo ndani ya mwanamke kwa kumtazama muonekano wake usoni ni rahisi kuliko mwanaume ambaye anatajwa kuwa na uwezo kuficha mawazo yake.
Muongozo huo wa kitaalamu wa kumtambua mwanamke anayekaribia kukuacha ni kazi rahisi, ambayo inaweza kuanzia kwenye kona ya mazoea ya tabia zake za kila siku kwenye uhusiano wa kimapenzi. Ni imani yangu kuwa kila mwanaume anamfahamu mpenzi wake katika sura mbili za chuki na furaha yake.Atakuwa mwanaume wa ajabu ambaye atarudi nyumbani kwake na kushindwa kusoma sura ya mkewe na kuj

HEKIMA NA BUSARA KWA MWANAADAM NI SILAHA YA MAISHA.

Asalaam alykum ,ndugu wasomaji wa makala hii.
lengo la makala hii ni kuwafahamisha wanajamii wawe wanatumia busara na hekima ya hali ya juu wakati wanapoyaendea maisha.Tujiulize ni wangapi katika maisha yetu wanashindwa kufanya usuluhishi mzuri wa kutatua matatizo yetu ya kimaisha kwasababu tumeikosa bilauri njema ya hekima na busra.

Tungependa kuwafahamisha wanajamii ,kwa kuanza na wanandoa wanapaswa kuwa na busara na hekima wakati wanapokuwa na wake zao .Silaha kubwa ni kuwa mvumilivu wakati wanapofikwa na matatizo ya kindoa ndani ya maisha yao ya kila kukicha.Ifahamike kwamba matatizo katika ndoa hayaepukiki ,lazima utakubwa na mtihani wa matatizo ,kinachosaidia inampasa mja awe na kifua cha kuweza kuyabeba mambo katika uvumilivu wa hali ya juu.

Sunday, March 29, 2015

UBINAADAMU NA URAFIKI

 Mtunzi na Mhariri wa makala hii ni Ndugu,Mohammed Said .

 Awali ya yote,tunatanguliza salamu kwa kutakiana upendo na amani .Lengo la makala hii ni kuwahamasisha wanajamii hata kawa mfano wa vidole katika miili yetu; kwani kila kiungo kimoja katika miili yetu, kinahitaji&kutegemea kiungo kingine kukamilishana na kusaidiana.Tujiulize nani rafiki na yupi anafaa kuwa rafiki, na vipi inapelekea watu waishi kwa furaha,upendo na udugu kama ndugu wa familia moja (udugu wa kidamu).Mwanaadamu mfano wa matope ,hatuwezi kutamka na kuziita hizi ni tope au udongo mkavu isipokuwa baada ya kujishikamanisha na maji .Hebu tuangalie mfano wa majengo tunayoyajenga sisi wanadamu tunayajenga kutokana na vitu shikamanishi ,vilivyochanganywa mathalani tupige jicho la kiusomi tutakuta ndani yake kuna Mchanga au udongo ,maji ,saruji au

TAALUMA YA ISIMU

Wapenzi wanafunzi wa vyuoni ,karibuni katika somo letu la leo katika muendelezo wa kukitangaza na kukikuza kiswahili Tanzania na duniani kwa ujumla.Changi maoni yako.
           
  MUKHTASARI WA DHANA YA TAALUMA YA ISIMU

Wanaisimu wengi wamejaribu kufasili dhana ya isimu .kwa mfano  , Richards et al (1985) anasema kuwa :

PANEL YA LEO

Nchi nyingi zilizoondelea hutumia lugha zao katika mfumo wao wote wa maisha ,mathalani wachina wameweza kukitumia kichina .jee! kiswahili kutumika  katika mfumo wa maisha ina wezekana au haiwezekani ?